Redds Miss
Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi
wa taji hilo,Kushoto ni mshidi wa pili Latifa Mohamed na Kulia ni mshindi wa
tatu Clara Bayo.
Jaji mkuu wa
Redds Miss Tanzania 2013 Dk Ramesh Shah akitangazo warembo walioingia Tano bora.
Warembo
walioingia hatua ya tano bora, toka kushoto ni Hapiness Watimanywa,Elizabeth
Pita,Clara Bayo,Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.
Lady J dee
akitoa burudan katika Redds Miss Tanzania 2013