Watu wengine maarufu waliopo kwenye top five ni Xi Jinping mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China,Pope Francis,Angela Merkel kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba moja akifuatiwa na Barack Obama namba mbili.
Thursday, 31 October 2013
Watu wengine maarufu waliopo kwenye top five ni Xi Jinping mwenyekiti wa chama cha kikomunisti cha China,Pope Francis,Angela Merkel kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba moja akifuatiwa na Barack Obama namba mbili.
Mwanamke huyu nadaiwa kuwa na mtindo wa kuagiza Walemavu kuchukuliwa Tanzania na kuingizwa Kenya kupitia Taveta na Lungalunga ambapo anawatumia kibiashara yeye na washirika wake ambapo mpaka sasa washukiwa saba wametiwa mbaroni kutokana na hii ishu.
Taarifa inasema ombaomba hawa ambao wanatoka Shinyanga, Mwanza, Musoma na Bukoba wakiwa mitaani kuomba, wakipata shilingi mia tano ya Kenya tajiri anachukua shilingi 300 na anamuachia shilingi 200.
Mmoja wa Walemavu hao anasema ‘kabla ya kuletwa Kenya tunapewa ahadi nzuri za kuvutia kwenda, mimi niliahidiwa kupewa Baiskeli lakini kinachotokea sasa hivi ni kwamba nikipata hiyo pesa ya kuombaomba, Mwanamke huyu ndio anapanga bajeti zake wala hamna anachofanya’
Subscribe to:
Comments (Atom)