|
Wajanja wote wanasikiliza Vision fm radio 100.OMHz kutoka KIBETA, BUKOBA-TANZANIA karibu utusikilize katika msimu huu mpya wa mapinduzi ya utangazaji na masuala mazima yanayohusu burudani hapa Kagera na tuunge mkono kwenye kampeni ya kuinua uchumi na maendeleo ya wana Kagera na hasa Vijana ambao ndio taifa la leo ambalo mara zote wamekuwa na changamoto nyingi za kuanza maisha na kuyafanya kuwa "BORA" |
VISION FM RADIO 100.0MHz "ONGEZA MTAZAMO"
TUNAKUKARIBISHA KWENYE SHOW YA VISION MUSIC AMBASSADOR BUKOBA CLUB Tar 19,05,2013 kuanzia saa 8 mpaka saa 12 jioni....