Monday, 14 October 2013

TUNAMISS HAYA KWA HAYATI MWL NYERERE


Muangalie Diamond aki-perform live wimbo wa P-square temptation katika project ya  Coke studio Africa

diamond1

Video hii nyingine alikuwa anajitambulisha kuhusu yeye,muziki wake na alipotokea

Tumia page yetu ya  Facebook  utoe Comment yako

BUKOBA WAPATA SEMINA KUHUSU SOKO LA HISA DAR ES SALAAM LAKINI MWITIKIO WA WAFANYABIASHARA NA WAJASILIAMALI NI MDOGO,ANGALIA MATUKIO KATIKA PICHA

 

Bw.Magabe Maasa muelimisha semina ya wafanyabiashara Bukoba toka soko la hisa