Kulia Bi Asia Mohamed toka John hopkins University
na Matrida Leopord toka redio vision fm
Hawa ni baadhi ya watangazaji waliokatika
semina ya Afya mjini Morogoro iliyoandaliwa na JHU, wa
kwanza kushoto ni Debora
Mpagama (RFA),Matrida Leopord (Vision Fm),Dk Isaac Maro (Clouds Fm) na Glory (Ebony
Fm)
Hawa ni baadhi ya wajumbe katika semina inayoendelea
mjini Morogoro hapa Kingsway Hotel