Hawa ni wasanii kutoka Kigoma All Stars wakiwa katika show ya pamoja Mombasa Kenya,katika moja kati ya tour ya Kigoma All stars waliyoipa jina la Lekadutigite East African and Drc Congo for Peace Tour.
Wasanii ambao watakuepo ni pamoja na Abdul Kiba,Mwasiti,Recho,Queen Darlin,Maunda zoro,Chegge,Ommy Dimpoz,Diamond Platnumz na wasanii wengine.
Show hii inafanyika pemben mwa fukwe za bahari ya hindi Sehemu inaitwa Big Tree Beach.
Jukwaa likiwa katika matengenezo kwa ajili ya show