Vijana
wa Kisomali wanajulikana kwa urembo wao lakini kwa ajili ya mila na dini yao,
hawawezi kushiriki maonyesho ya mitindo ya kisasa kama vile Miss World.
Vijana
wa kike na kiume wa Kisomali wameandaa maonyesho ya kwanza ya mitindo ya mavazi
katika mtaa wa Eastleigh mjini Nairobi. Frenny Jowi alihudhuria maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.