Wednesday, 4 September 2013

VMA KUKISANUA KATIKA USIKU WA SAIDA KALORI JUMAMOSI HII BUKOBA!!!

WASANII WA VISION MUSIC AMBASSADOR,MAPEMA LEO HII WAKIWA KATIKA STUDIO YA REDIO VISION BUKOBA,WAKITAMBULISHA NYIMBO ZAO MPYA,MADAWA YA KULEVYA NA WOROWONDO.

AIDHA WATAPIGA SHOW LIVE KATIKA USIKU WA SAIDA JUMAMOSI HII SEPTEMBA 7 LINAZ BUKOBA NA SEPTEMBA 8 KATIKA VIWANJA VYA KAITABA,AMBAPO WATAPERFOM NYIMBO ZAO MPYA TATU WALIZOFANYIA VMA RECORD,MKONO WA PRODUCER MICKA JR UKIHUSIKA