Monday, 7 October 2013

BAADHI YA PICHA ZA VISION MUSIC AMBASSADOR KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

Mh. Mgeni rasmi kanali Issa Njiku Dc Misenyi aliyemuwakilisha mkuu wa mkoa Kagera akiweka sahihi yake katika kitabu maalumu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bukoba club.

Baadhi ya picha tukiwa na mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya kupinga matumizi na biashara ya madawa ya kulevya.

Wadau wa maendeleo wakifuatilia kwa umakini yaliyokuwa yakijadiliwa
Burudani iliendelea baada ya kongamano






Mwanadada Odetha Pais akiwa na Mr Valerian jukwaani wakiwapa raha mashabiki