Sunday, 8 September 2013

USIKU WA SAIDA KAROLI WAFANA BUKOBA,CHECK MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA


Msanii Saida Karoli na kundi lake wakiutendea haki usiku wa Saida Karoli.


Msanii Bk Sunday toka VISION MUSIC AMBASSADOR

Msanii Shemela toka VISION MUSIC AMBASSADOR

Msanii Kamdingi Fulani toka VMA na Saida Karoli toka Tivol company limited

Dogo B.

Mc Miss Matrida Leopord

Afisa utamaduni manispaa Bw. Evarista Rugeiyamu,Mgeni rasmi Katibu tawala wilaya ya Bukoba (DAS) Mh. Clement Ndyamukama na Mrs Ndyamukama Meza kuu


Wasanii wa VISION MUSIC AMBASSADOR wakikonga nyoyo za mashabiki wao.

Msanii toka Nairobi Kenya Kajay Poda akiburudisha mashabiki

Msanii Saida Karolin a mkurugenzi VMA(VISION MUSIC AMBASSADOR) Miss Matrida Leopord

Picha ya pamoja wasanii wa VMA


Saida akipagawisha mashabiki wake kwa ngoma za asili


Mashabiki nao hawakuwa nyuma



Ama kweli muziki huwaunganisha watu pamoja,tena siasa huwekwa kando kabisa hapa ni Mh. Diwan kata ya Miembeni manispaa ya Bukoba Bw. Richard Deus mwenye shati ya kaki na jeans ya bluu(CCM)na Mh.Diwan kata ya Rwamishenye manispaa ya Bukoba Bw. Dismass Rutagwerela mwenye suti nyeusi(Chadema, Achaaaaaa kabisaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

Mh. Richard Deus akiwa na katibu mwenezi vijana (ccm) kata ya Bilele mwenye shati nyeupe yenye mistari

Producer Micka Jr toka VMA Record $ Linear Pro company limited

Mc Miss Matrida Leopord


Msanii Sadath Ngemela toka Tivol company limited
Mkurugenzi VMA(VISION MUSIC AMBASSADOR) Miss Matrida Leopord akiwa na
Producer Micka Jr toka VMA Record $ Linear Pro company
limited

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.