Sunday, 22 September 2013

HAPINESS WATIMANYWA MISS TANzANIA 2013,CHECK PICHA



Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa taji hilo,Kushoto ni mshidi wa pili Latifa Mohamed na Kulia ni mshindi wa tatu Clara Bayo.
 

Jaji mkuu wa Redds Miss Tanzania 2013 Dk Ramesh Shah akitangazo warembo walioingia Tano bora.
 

Warembo walioingia hatua ya tano bora, toka kushoto ni Hapiness Watimanywa,Elizabeth Pita,Clara Bayo,Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.

Warembo Redds Miss Tanzania wakipita jukwaani na mavazi ya ubunifu

Lady J dee akitoa burudan katika Redds Miss Tanzania 2013

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.