Thursday, 3 October 2013

OPARESHENI KIMBUGA AWAMU YA PILI MKOANI KAGERA, KUONDOA WAHAMIAJI HARAMU, MAJANGIRI NA MAJAMBAZI, ANGALIA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA!!!




Hawa ni ng’ombe 1225 wa wahamiaji haramu waliokamatwa katika oparesheni ya kimbunga huko Katera wilayani Kyerwa mkoani Kagera
Big result now itafanikiwa kweli katika hali hii,ama kweli ni majanga katika shule hii ya kitanzania kata ya Nyakabanga wilayani Karagwe,wanafunzi hawa ndio viongozi wa kesho.
 
Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Karagwe fm Bi. Mariam Mlama akiwa bize na kazi,akifuatilia kwa umakini kabisa taarifa anayopewa mkuu wa mkoa Kagera kanal mstaafu Fabian Masawe.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.