Akitoa taarifa ya awali Bungeni
yenye lengo la kudhibiti tatizo la ujangili wa tembo na wanyama wengine Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi HAMIS KAGASHEKI, ameagiza kuachiwa kwa mifugo .
Akiufunga mjadala huo, Spika wa Bunge ANNE MAKINDA amesema kuhusiana na
Oparesheni TOKOMEZA, bunge linaiachia Kamati ya Maliasili na Utalii kulipatia
ufumbuzi huku lile la migogoro ya ardhi itaundiwa Kamati teule itakayofanya
tathmini na kutoa maamuzi.
Zaidi ya Ng’ombe 4,000 wanaoshikiliwa
na Serikali katika maeneo
mbalimbali nchini walitarajiwa kupigwa mnada kinyume na taratibu ili kushinikiza wafugaji kutoa rushwa kwa watendaji wanaoendesha Oparesheni TOKOMEZA ili mifugo yao iachiwe.
mbalimbali nchini walitarajiwa kupigwa mnada kinyume na taratibu ili kushinikiza wafugaji kutoa rushwa kwa watendaji wanaoendesha Oparesheni TOKOMEZA ili mifugo yao iachiwe.
Toa
Maoni Yako