Monday, 23 September 2013

SHETA AKAMATWA NA POLISI KENYA NA KISHA KUACHIWA,KISA PERFUME YAKE YAFANANA NA BOMU

sheta3sheta223

Msanii Shetta kwa siku kadhaa alikuwa Kenya akifanya show na kurekodi ngoma katika studio za huko.
Kwa mujibu wa msanii huyo  amesema  kwamba akiwa airpot amekamatwa na polisi kutokana na chupa ya perfume aliyobeba kufanana na umbo la bomu.
 Shetta amesema  alihojiwa na polisi na baadae kuachiwa huru.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.