Hili ni jumba la Makumbusho ya Mwalimu J.K.Nyerere, Butiama mkoani Mara. Ushawahi kutembelea hapa? |
Mchezo wa Bao huchezwa na makabila mengi hapanchini Mwalimu J.K Nyerere amekuwa akicheza na kuupenda mchezo huo hata baadhi ya vyama miaka ya sasa kumuenzi kwa kufanya mashindano mbalimbali nchini. Bao hili alipewa na wananchi wa Ndanda. |
Joho la Uhitimu. |
A gift of traditional stool given to Mwl. Nyerere by the residents of Dar-es-Salaam after the victory of Kagera war in 1978 - 1979. |
Jiwe la kusagia nafaka huitwa 'Ombwe' na dogo huitwa Esyo, kwa kawaida kazi ya kusaga hufanywa na wanawake. Chakula kikuu cha wazanaki ni ugali, huliwa kwa nyama, samaki na mboga za majani. |
Picha nazo zipo |
Urithi wa asili wa Tamaduni za kizanaki silaha za jadi, vifaa vya nyumbani, ala za muziki, mapambo ya asili, lugha, mila, desturi - nk. Vyte utavikuta kwenye nyumba hii ya makumbusho ya Mwalimu. |
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.