Mshindi wa
BET award kwenye kipengele cha Best African act “Ice Prince” kutoka Nigeria
ameshirikiana na msanii kutoka Bad Boys record “French Montana” kwenye wimbo
wake mpya unaitwa “I swear” ambao pia unatarajiwa kuwa ndani ya album ya Ice
Prince itakayotoka baadae mwezi huu baada ya kusogeza mbele
tarehe ya kuitoa.
Mwana FA$AY ft J.Martins
Baada ya kuungana
ndani ya studio za MJ Records na baadae tena ndani ya South Africa yote
kwasababu ya wimbo wa “Bila kukunja goti”, kwa mara ya tatu wakali hawa watatu
wataungana tena ndani ya jiji la Dar kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo.
Uzinduzi huo utafanyika Septemba 13 mwaka huu .
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.