Thursday, 29 August 2013

VISION MUSIC AMBASSADOR WANAKWENDA KUDROP NYIMBO TATU MPYA...........

                                      VISION MUSIC AMBASSADOR imeanza kufurahia matunda yake,baada ya kukamilisha nyimbo tatu chini ya mkono wa producer MICKA JR,kazi hizo zimefanyika katika studio yao iitwao VMA RECORD.

Ijumaa hii wanarelease nyimbo moja iitwayo kaza mwendo iliyobeba ujumbe mkali,

Kitu kizuri ni kuwa wasanii wameonyesha ushirikiano wa kutosha baina yao bila kujali nani amekuwa katika game kwa muda gani akifanya nn!!!

Ni ndani ya VMA Record,aliyekaa ni producer MICKA JR,pembeni yake ni Mkurugenzi wa VISION MUSIC AMBASSADOR Bi. MATRIDA LEOPORD,anayefuatia ni msanii MC JACK,SHEMELA,REAL MKUDE na KAMDINGI Flani.





Mkurugenzi VISION MUSIC AMBASSADOR Bi. MATRIDA LEOPORD akiwa ndani ya VMA RECORD.




PRODUCER MICKA JR MKALI WA HIZI KAZI TOKA VMA RECORD,ACHA KABISAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!




Msanii shemela

Kamdingi Fulani



Yombo Man na Real mkude
Msanii Babu Rweyemamu

Bk SANDE on the stage




All VMA Artists



No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.